MWANZILISHI mwenza wa kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya Obi Mobiles, yenye makao makuu yake Singapore, John Sculley amesema ujio wa kampuni hiyo nchini Tanzania, utaongeza wigo wa utumiaji wa tehama na hasa matumizi ya zana z…
Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi
Treni ya Japan iendayo kasi imevunja rekodi yake duniani kwa kufikia mwendo wa kilomita 603 kwa saa, sawa na maili 374 kwa saa katika majaribio yake karibu na Mlima Fuji. Treni hiyo imevunja rekodi yake ya mwendo wa kilomita 590 kwa saa iliyoweka …

Japan kwenye headlines nyingine tena.. Huyu ROBOT hana tofauti na mtu kabisa..
Bado dunia nzima inazungumzia teknolojia ya JAPAN, ile treni ambayo imevunja rekodi jana APRIL 21 kwa kutembea kasi ya kilometa 603 kwa saa, leo iko nyingine.. unajua tumezoea kukutana na yale masanamu kwenye maduka ya nguo, unakuta limevalishwa k…

THE BEST 10 MOBILE APPS IN TANZANIA:

The statics show that ;for both desktop and mobile internet users are deploying the following best 10 apps for their social transactions and Interaction: 1. M-pesa This is the Vodacom mobile transaction application ,giving service to multi-commun…

Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi
Treni hiyo imevunja rekodi yake ya mwendo wa kilomita 590 kwa saa iliyoweka wiki iliyopita katika jaribio lingine. Treni ya maglev ambayo haitegemei kugusana na chuma bali inaendeshwa kwa nguvu ya umeme, inatumia sumaku zilizochajiwa kwa umeme kun…

TECHNOLOGY: YAJUE MATUMIZI YAKO YA INTANETI

Mitandao ya Intaneti inatumika na watu wa aina mbali mbali duniani kwa madhumuni tofauti tofauti. Kwa ufupi hapa leo tutaangalia matumizi yako ya Intaneti na kutathmini kwa ufupi sana matokeo ya matumizi yako ya Intaneti kwa maisha yako na hatima…

TECHNOLOGEY:Ford kuuza magari ya kusoma ishara
uwezo wa kusoma ishara za barabarani na kurekebisha mwendo wake ili kuhakikisha kuwa gari haliendi kwa kasi. Teknolojia hiyo inatumika kwa kutumia usukani wa gari na inaweza kutolewa kwa kutumia kikanyagio cha kuendesha gari iwapo dereva atakanyaga…
